KUNATAKIWA uwepo wa jezi mpya za Taifa Stars kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) zitakazofanyika hapa nchini, na uzinduzi wake unatakiwa ufanyike mapema mwaka huu. Leo tukiwa katika mwezi wa tisa, zimebaki miezi michache tu mwaka huu umalizike kabla ya kuingia mwakani ambapo mashindano hayo makubwa yatafanyika yakiandaliwa na […]
The post Mchakato wa Jezi Mpya Taifa Stars AFCON Unatakiwa Anza Sasa appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/ht7LbSv
via IFTTT
Post a Comment