Yanga vs Gaborone United: Ali Kamwe Afunguka Maandalizi, Majeraha na Big Screen Azam Complex

Klabu ya Yanga SC imeongeza kasi ya maandalizi kuelekea mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United kutoka Botswana. Hamasa kambini imepanda kwa kiwango kikubwa, huku wachezaji wakionyesha kiu kubwa ya kuingia uwanjani kusaka ushindi. Mchezo huo utakaopigwa katika Uwanja wa Azam Complex, ni wa umuhimu mkubwa kwa Yanga katika […]

The post Yanga vs Gaborone United: Ali Kamwe Afunguka Maandalizi, Majeraha na Big Screen Azam Complex appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/zihv6W1
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post