Kiungo mchezeshaji wa Simba SC, Clatous Chama, amewataka mashabiki na wadau wa soka kutojisahau kufuatia mwanzo mzuri wa msimu, akisisitiza kuwa mbio za kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni ndefu na zenye ushindani mkubwa. Simba SC imeanza msimu kwa kasi ya kuvutia baada ya kukusanya pointi 15 katika michezo mitano ya kwanza. […]
The post Chama Avunja Ukimya Simba SC: “Mbio za Ubingwa Bado Ndefu, CAF CL Lengo ni Makundi” appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/jY5ZMsQ
via IFTTT
Post a Comment