Dickson Job na Clement Mzize Kurejea Yanga SC | Afya Zao Za-Clear

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa kurejea kwa beki Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize baada ya kukamilisha vipimo vya afya ni habari njema inayoongeza nguvu na ushindani mkubwa ndani ya kikosi hicho. Kamwe ameeleza kuwa wachezaji hao wawili wamefanyiwa uchunguzi wa kina na idara ya madaktari ya klabu […]

The post Dickson Job na Clement Mzize Kurejea Yanga SC | Afya Zao Za-Clear appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/2bzDc4H
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post