Manqoba Atoa Maagizo Mazito Yanga Dhidi ya Gaborone United

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amewataka washambuliaji na mabeki wake kuingia uwanjani wakiwa na umakini wa kiwango cha juu, akisisitiza kuwa ufanisi wa kufunga na uimara wa safu ya ulinzi ndizo zitakazokuwa silaha kuu za kuing’oa Gaborone United ya Botswana. Mchezo huo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuwa na ushindani […]

The post Manqoba Atoa Maagizo Mazito Yanga Dhidi ya Gaborone United appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/xRDKyMh
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post