Klabu ya Simba SC imerejea nchini ikitokea Malawi huku ikiwa na tabasamu la ushindi, lakini Kocha Mkuu Steve Barker amegoma kulevya na matokeo hayo, akisisitiza kuwa Wekundu wa Msimbazi hawatakiwi kubweteka hata kidogo na faida ya bao moja waliyopata ugenini dhidi ya Mighty Wanderers. Ushindi huo wa ugenini katika mchezo wa kwanza wa hatua ya […]
The post Barker Aonya Simba SC: “Bado Hatujamaliza Kazi!” Yaahidi Vita Dar appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/suLNXwk
via IFTTT
Post a Comment