Azam FC vs Namungo FC Leo: Kipimo cha Ibenge na Mgunda Ligi Kuu

Wakati klabu za Simba SC, Yanga SC, na Singida Black Stars zikipambana kutinga raundi ya pili ya michuano ya kimataifa, Azam FC yenyewe inashuka dimbani leo Jumatatu kuendeleza mbio za Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Azam FC itaanzia raundi ya pili kwenye michuano ya kimataifa, hali inayompa […]

The post Azam FC vs Namungo FC Leo: Kipimo cha Ibenge na Mgunda Ligi Kuu appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/UmE2YKb
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post