CECAFA U-20: Rwanda, Ethiopia, Kenya na Burundi Kupambana Uwanja wa Uhuru

MTAFARUKO wa kusaka tiketi ya kusonga mbele kwenye Michuano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U-20) unatarajiwa kuendelea Alhamisi ya Septemba 17, 2026, kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Timu za Rwanda, Ethiopia, Djibouti, Sudan, Burundi na Kenya zitashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu. Ratiba ya Mechi za Kesho (Uwanja wa Uhuru): Saa […]

The post CECAFA U-20: Rwanda, Ethiopia, Kenya na Burundi Kupambana Uwanja wa Uhuru appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/LjlMfNx
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post