Simba SC imefanikiwa kufuta uteja dhidi ya Azam FC baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 2-0 katika mchezo wa Mzizima Derby uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ulianza kwa kasi kubwa, ambapo wenyej wao Azam FC walipata nafasi ya mapema dakika ya 11 kupitia kwa Elie […]
The post Simba Yaifunga Azam FC 2-0 Mzizima Derby: Rushine De Reuk na Chama Waiteka Chamazi appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/uM6qSQn
via IFTTT
Post a Comment