Rapa maarufu kutoka nchini Marekani, Ludacris, ana uhusiano wa karibu sana na Afrika si tu kupitia muziki wake, bali pia kupitia ndoa yake na mrembo kutoka Gabon, Eudoxie Mbouguiengue. Wawili hawa wamedumu katika mahusiano kwa miaka 18 sasa, huku wakiendelea kuwa mfano wa kuigwa kupitia kazi zao za kijamii na malezi ya familia yao. Ludacris, […]
The post Ludacris na Mke Wake Eudoxie: Uhusiano Wao, Watoto na Misaada Afrika appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/ty9bWQX
via IFTTT
Post a Comment