TFF Yaweka Wazi Ratiba ya Taifa Stars, Serengeti Boys na Timu za Taifa 2026

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka wazi ratiba pamoja na mipango mizito ya timu mbalimbali za taifa zinazokabiliwa na michezo ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na Taifa Stars, Serengeti Boys, na Ngorongoro Heroes. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Clifford Ndimbo, ameeleza kuwa siku chache zijazo […]

The post TFF Yaweka Wazi Ratiba ya Taifa Stars, Serengeti Boys na Timu za Taifa 2026 appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/8W62cm7
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post