UONGOZI wa klabu ya Geita Gold umeweka wazi sababu zilizomsababisha kipa wao mpya raia wa Nigeria, Kayode Bankole Iyanu, kutoweka uwanjani katika michezo ya Ligi Kuu Bara tangu kuanza kwa msimu wa 2026/2027. Akizungumza kuhusu hali hiyo, Ofisa Habari na Mawasiliano wa Geita Gold, Samwel Dida, ameeleza kuwa kukosekana kwa mlinda mlango huyo kunachangiwa na […]
The post Sababu za Kipa Mpya wa Geita Gold, Kayode Bankole Kukosa Mechi za Ligi Kuu appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/cj0oul6
via IFTTT
Post a Comment