KIUNGO mshambuliaji wa Enppi SC inayoshiriki Ligi Kuu ya Misri, Arafat Ally, ameweka wazi tofauti kubwa iliyopo kati ya mpira wa miguu wa Misri na Tanzania, akibainisha kuwa uwekezaji na mfumo thabiti wa kuendeleza vipaji vya vijana ndiyo nguzo kuu ya mafanikio yao. Arafat, ambaye alikuwa nahodha na kinara aliyeiongoza Timu ya Taifa ya Vijana […]
The post Arafat Ally Anasa Siri ya Soka la Misri, Aipiga Mkwara Bongo! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/1E2B5fN
via IFTTT
Post a Comment