Vita ya Makocha Dabi ya Kariakoo: Steve Barker vs Manqoba Mngqithi Oktoba 10

Dabi ya Kariakoo inayotarajiwa kupigwa Oktoba 10, mwaka huu, imeanza kuchukua sura mpya na ya kipekee mno. Hii ni baada ya makocha wakuu wa Simba SC na Yanga SC, Steve Barker na Manqoba Mngqithi, kuingia kwenye pambano hili wakiwa wanafahamiana vyema kutokana na historia yao ndefu katika soka la Afrika Kusini. Barker, ambaye ni Kocha […]

The post Vita ya Makocha Dabi ya Kariakoo: Steve Barker vs Manqoba Mngqithi Oktoba 10 appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/gK9GkIM
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post