KLABU ya Yanga imeendelea kuweka mambo sawa katika benchi lake la ufundi baada ya kufanya usajili mwingine wa kocha wa viungo, Abdulwahid Abdallah ‘Ekotto’, ambaye anakwenda kuungana na Tshephang Mokaila ‘Chyna’. Ekotto, ambaye si mgeni katika soka la Bongo kwani alishawahi kufanya kazi na klabu za KMC FC pamoja na Mlandege FC ya Zanzibar, amejiunga […]
The post Yanga Yaongeza Nguvu Benchi la Ufundi: Ekotto Ajiunga Rasmi Kutoka ZNZ appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/IXQ5zlp
via IFTTT
Post a Comment