Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuufunga kwa muda Uwanja wa New Amaan Complex kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa eneo la kuchezea (pichi), kwa kung’oa nyasi za zamani na kupanda mbegu mpya za nyasi. Uamuzi huo unalenga kuandaa uwanja huo kutumika kama uwanja wa mazoezi kuelekea Fainali za Kombe la Mataifa ya […]
The post Uwanja wa New Amaan Complex Wafungwa kwa Miezi 2 Kuelekea AFCON 2027 appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/AMxS53C
via IFTTT
Post a Comment