Baada ya ushindi muhimu wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo Fc Wananchi wakianza vyema kampeni ya kutetea ubingwa kwa msimu wa sita mfululizo, kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo unaofuata.
Yanga itaikaribisha Coastal Union katika mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex

Post a Comment