UONGOZI wa Yanga umeendelea kuwapa hamasa kubwa mashabiki wake kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2026/27, huku ukiweka wazi mpango wa kuendelea kukisuka kikosi hicho kwa kufanya usajili wa wachezaji wenye ubora wa hali ya juu. Akizungumza kuelekea msimu mpya, Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amesema kuwa usajili wa msimu huu si jambo la […]
The post Yanga Yaja na Mashine Nyingine Mpya Siku ya Wananchi | Usajili 2026/27 appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/QmbztsL
via IFTTT
Post a Comment