Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo Agosti 8, 2026 unatarajiwa kufurika na kushuhudia burudani wakati klabu ya Simba SC itakapofanya tamasha lake kubwa la kila mwaka la ‘Simba Day’.
Tamasha la mwaka huu ni la kihistoria kwani linakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 90 tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo kongwe na yenye mafanikio makubwa nchini.
Burudani na Mechi za Ufunguzi
Siku ya leo itakuwa na mfululizo wa matukio ya kusisimua tangu mapema asubuhi. Jukwaa la burudani litatikiswa na wasanii mbalimbali wakubwa wa muziki wa kizazi kipya wakiongozwa na Ali Kiba.
Kabla ya kufika kwenye utambulisho mkuu wa kikosi, mashabiki watapata fursa ya kushuhudia soka safi kupitia mechi maalum za ufunguzi. Mechi hizo zitahusisha:Timu ya Vijana (Simba B), timu ya Wanawake (Simba Queens).
Utambulisho wa Kikosi na Kilele cha Usiku
Baada ya burudani hizo na mechi za ufunguzi, itafanyika shughuli kubwa ya utambulisho rasmi wa wachezaji wapya na wa zamani watakaounda kikosi cha Simba SC kwa msimu wa mashindano wa 2026/2027.
Tamasha hili la kihistoria litahitihimishwa rasmi kwa mchezo mkubwa wa kimataifa wa kirafiki ambapo Simba SC itapepetana dhidi ya Polisi FC (Kenya Police FC). Mchezo huo wa kukata na shoka unatarajiwa kupigwa kuanzia saa 2:00 usiku (20:00 HRS).
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama tamasha hili na mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment