Rupia Wa Kenya Police Aipa Simba Matumaini Makubwa Msimu Mpya 2026/27

Mshambuliaji wa Kenya Police FC, Elvis Rupia, ameipa Simba SC matumaini makubwa kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2026/27, akisisitiza kuwa Wekundu hao wa Msimbazi wana kikosi chenye ubora na ushindani wa hali ya juu. Kauli hiyo ya Rupia imekuja mara baada ya mchezo wa kirafiki uliowakutanisha Kenya Police FC dhidi ya Simba SC, ambapo […]

The post Rupia Wa Kenya Police Aipa Simba Matumaini Makubwa Msimu Mpya 2026/27 appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/zJu6XwV
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post