Meddie Kagere Afunguka Hatma Yake Soka: “Sijastaafu, Nasubiri Ofa!”

Mshambuliaji wa zamani na nyota aliyewahi kuwika na klabu ya Simba SC, Meddie Kagere, amevunja ukimya na kuweka wazi kuwa bado hajafunga ukurasa wa kucheza soka la ushindani, huku akisisitiza kuwa yupo tayari kurejea uwanjani mara moja endapo atapata timu itakayompa mkataba wenye maslahi mazuri. Kagere ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye tamasha la Simba […]

The post Meddie Kagere Afunguka Hatma Yake Soka: “Sijastaafu, Nasubiri Ofa!” appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/nDkv34N
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post