LIVE: TAZAMA HAPA TAMASHA LA YANGA DAY NA MECHI YAO YA KIRAFIKI HAPA


 Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo unatarajiwa kushuhudia gharika la mashabiki wa klabu ya Yanga, wanaomiminika kwa maelfu kushuhudia kilele cha tamasha la nane la Wiki ya Mwananchi, maarufu kama ‘Yanga Day’.

Burudani zitatawala tangu asubuhi huku kukiwa na matukio mbalimbali  kunogesha siku hii kubwa kwa Mashabiki na Wanachama wa Yanga.

Sherehe za leo zitapambwa na burudani ya muziki kutoka kwa wasanii nguli nchini. Wasanii kama Dudubaya, Madee, Chid Benz, Ndaro, na Kidensa wanatarajiwa kupanda jukwaani kuwasha moto uwanjani hapo.

Kabla ya tukio kuu, kutakuwa na mechi za utangulizi zitakazohusishwa wakongwe, staff wa Yanga dhidi ya wasanii na timu za vijana.

Kivutio kikubwa cha tamasha hili ni utambulisho rasmi wa kikosi kizima cha Yanga SC kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano wa 2026/2027.

Mashabiki watapata fursa ya kuwaona 'live' wachezaji wapya waliosajiliwa dirisha hili, pamoja na benchi la ufundi lenye jukumu la kutetea ubingwa wa ndani na kufanya vizuri kimataifa.

Lakini pia leo Yanga itafunga usajili wake kwa kutambulisha mchezaji 'mkubwa'. Kwa takribani wiki nzima viongozi wa Yanga wamekuwa wakilizungumza hili na hatimaye siku imewadia.

Kilele cha burudani kitahitimishwa kwa mchezo mkali wa kirafiki wa kimataifa ambpo mabingwa wa kihistoria, Yanga SC, watashuka dimbani kumenyana na miamba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), timu ya Les Aigles Du Congo.

Mchezo huu unatazamwa kama kipimo cha kwanza kwa kocha Manqoba Mngqithi na wachezaji wake kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba utakaopigwa Jumatano.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amewataka mashabiki kujitokeza mapema na kuvalia jezi mpya za kijani na njano ili kuonyesha ukubwa wa klabu hiyo yenye mashabiki wengi nchini.

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama tamasha hili na mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post