Mngqithi Afunguka Kipigo Kizito cha Yanga Siku ya Mwananchi

Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, ameweka wazi hisia zake bila kuficha chochote, akibainisha kuwa uzembe na makosa ya kizembe kutoka kwa wachezaji wake ndivyo vilivyoigharimu timu hiyo katika kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Aigles du Congo. Mabingwa hao watetezi walitamatisha tamasha lao la Siku ya Mwananchi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, […]

The post Mngqithi Afunguka Kipigo Kizito cha Yanga Siku ya Mwananchi appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/6Zjml5z
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post