Yanga Yainyuka Simba Usajili wa Selemani Mwalimu Kutoka Wydad AC

Mshambuliaji hatari Selemani Mwalimu amekuwa gumzo kubwa kwenye soko la usajili la msimu wa 2026/27 baada ya Yanga SC kufanya umafia wa kimya kimya na kumnasa nyota huyo kutoka Wydad AC ya Morocco, ikiwa ni pigo zito kwa watani wao wa jadi, Simba SC. Yanga imemtambulisha rasmi Mwalimu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, […]

The post Yanga Yainyuka Simba Usajili wa Selemani Mwalimu Kutoka Wydad AC appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/P2CdzkV
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post