MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, amefunguka kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao wa jadi Yanga SC, akisisitiza kuwa Dabi ya Kariakoo haina mnyonge na mchezo huo unaweza kuamuliwa kwa mikwaju ya penalti. Pambano hilo la kukata na shoka linatarajiwa kupigwa kesho katika Uwanja wa Amaan, Visiwani […]
The post Magori Aainisha Kakitu Katakachoamua Simba vs Yanga Kesho, Atabiri Penalti! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/79TExmd
via IFTTT
Post a Comment