Sakata la aliyekuwa mshambuliaji wa Simba SC, Selema Mwalimu, kutambulishwa na klabu nyingine limechukua sura mpya na kuibua taharuki kubwa miongoni mwa mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi. Hata hivyo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewataka Wanasimba kutulia na kuelekeza akili zao zote kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya […]
The post Ahmed Ally Awatuliza Wanasimba Sakata la Selema Mwalimu appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/FRAVbrQ
via IFTTT
Post a Comment