Dakika 90 za moto zinatarajiwa kurindima leo visiwani Zanzibar kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, pale miamba miwili ya soka nchini, Yanga SC na Simba SC, itakapokutana kuwania taji la kwanza la msimu la Ngao ya Jamii. Hii ni mechi yenye rekodi, presha na visasi tele, ambapo sheria za mashindano ziko wazi: hakuna sare, lazima […]
The post Yanga vs Simba Leo: Vita ya Ngao ya Jamii, Makocha na Visasi Zanzibar! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/ofR7yOH
via IFTTT
Post a Comment