KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Afrika Kusini (Banyana Banyana), Desiree Ellis, amesema wanatambua ugumu na uzito wa kibarua kilichopo mbele yao wakati watakapokabiliana na miamba ya soka Afrika, Nigeria, kwenye mchezo wa mchujo wa Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON). Afrika Kusini iliondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya kukubali […]
The post Desiree Ellis Aweka Wazi Vita ya Banyana Banyana na Nigeria Njia ya Kombe la Dunia 2027 appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/Z42GF3h
via IFTTT
Post a Comment