Steve Barker Funguka Kadi Nyekundu Simba SC: “Hatutalii Maziwa Yaliyomwagika”

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amevunja ukimya kuhusu mfululizo wa kadi nyekundu ambazo timu hiyo imekuwa ikipata katika michezo mitatu ya mwanzo ya Ligi Kuu Bara msimu huu, akisisitiza kuwa wameamua kukabiliana na changamoto hiyo badala ya kulalamika. Simba imejikuta ikicheza pungufu katika kila mchezo kati ya mitatu ya kwanza ya ligi kuu. […]

The post Steve Barker Funguka Kadi Nyekundu Simba SC: “Hatutalii Maziwa Yaliyomwagika” appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/swathXJ
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post