Kikosi cha Simba SC kinatarajia kushuka dimbani leo kumenyana na Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), huku Wekundu wa Msimbazi wakipokea taarifa njema ya kurejea kwa mlinda mlango wao, Djibrila Kasali. Simba iliwasili mkoani Singida juzi na kufanya mazoezi katika Uwanja wa Liti, ikiwa ni sehemu ya maandalizi […]
The post Taarifa Njema Simba SC: Kasali Arejea Kuelekea Mchezo Dhidi ya Singida Black Stars appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/Rsfi7Ae
via IFTTT
Post a Comment