Singida Black Stars vs Simba SC: Rekodi, Vifaa na Baiskeli ya Sowah Kuibeba Simba?

Baada ya kuanza msimu kwa kishindo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, miamba ya soka Simba SC kesho itakuwa na kibarua kizito ugenini dhidi ya Singida Black Stars katika Uwanja wa Airtel Stadium, Singida. Wekundu hao wa Msimbazi, wanaonolewa na Kocha Steve Barker, wanaingia kwenye mchezo huo wakisaka alama tatu muhimu ili kuendeleza wimbi la ushindi […]

The post Singida Black Stars vs Simba SC: Rekodi, Vifaa na Baiskeli ya Sowah Kuibeba Simba? appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/eAUBEVH
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post