Manqoba Mngqithi Aweka Wazi Mipango Yake Yanga Baada ya Kuisambaratisha Coastal Union 4-1

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amesema kikosi chake bado kiko kwenye mchakato wa kujengwa na kuimarika zaidi, licha ya kuanza msimu kwa ushindi mnene wa mabao 4-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam. Mngqithi ameeleza kuwa Yanga ilitawala sehemu […]

The post Manqoba Mngqithi Aweka Wazi Mipango Yake Yanga Baada ya Kuisambaratisha Coastal Union 4-1 appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/wQbyDUf
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post