LIVE: ITAZAME MECHI YA YANGA vs COATAL UNION LIVE HAPA


 Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga wako uwanja wa KMC Complex kuwakaribisha Coastal Union katika mchezo utakaopigwa saa 12:30 jioni.

Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo Fc katika mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Majaliwa, Yanga leo itashuka uwanja wa KMC Complex ikiwa na lengo moja tu, kusaka ushindi ili kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi.

Utakuwa mchezo wa kwanza uwanja wa nyumbani, nafasi kwa mashabiki wa Yanga kuishuhudia timu yao kwa mara ya kwanza nyumbani msimu huu.

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post