MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars raia wa Ghana, Jonathan Sowah, ameendelea kuonyesha utimamu na kiwango bora baada ya leo kuifungia timu yake bao muhimu katika sare ya 1-1 dhidi ya Kagera Sugar, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Kaitaba, Kagera. Katika mchezo huo, wenyeji Kagera Sugar walipata bao la kuongoza mapema mnamo […]
The post Sowah Ainusuru Singida Black Stars Dhidi ya Kagera Sugar appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/AX4MOVy
via IFTTT
Post a Comment