COASTAL Union leo inaingia kwenye Uwanja wa KMC Complex uliopo Dar es Salaam ikiwa na kibarua kizito cha kuvunja mwiko na rekodi mbovu ya miaka 12 na siku 357 dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga. Wagosi hao wa Kaya wamepoteza mechi 10 mfululizo za ugenini dhidi ya Yanga bila kufanikiwa kufunga hata bao moja. Mchezo huo […]
The post Yanga vs Coastal Union: Rekodi ya Miaka 12 Kuvunjwa KMC Complex Leo? appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/eGUpHFn
via IFTTT
Post a Comment