KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema kikosi chake kimejiandaa kikamilifu kukabiliana na Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku akitoa tahadhari kubwa kuwa wenyeji hao ni timu ngumu na yenye ushindani mkubwa wanapocheza mbele ya mashabiki wao. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kesho katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Hata hivyo, […]
The post Steve Barker Aitahadharisha Simba SC Akimkosa Kipa Mahamadou Kasali Dhidi ya Pamba Jiji appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/DSg7hoG
via IFTTT
Post a Comment