Uongozi wa Yanga SC umeeleza kuwa kurejea kwa kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki klabuni hapo ndiko kulikofungua milango ya Allan Okello kuondoka. Uamuzi huo ulifikiwa baada ya benchi la ufundi, chini ya Kocha Mkuu Manqoba Mngqithi, kuhitaji mchezaji mwenye uzoefu mkubwa zaidi kwa ajili ya kampeni zao za Ligi ya Mabingwa Afrika. Ofisa Habari wa […]
The post Yanga Yafunguka: Kurejea kwa Aziz Ki Kulivyofungua Milango Okello Kuondoka appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/s1FdM5N
via IFTTT
Post a Comment