Ligi kuu ya NBC inaendelea leo mechi za mzunguko wa pili ambapo mechi tatu zinatarajiwa kupigwa.
Wekundu wa msimbazi , Simba sc wako jijini mwanza wakiwa wageni wa Pamba jiji katika mchezo utakao pigwa uwanja wa CCM kirumba saa 10:15 jioni.
Simba ilianza vyema msimu mkoani kagera wakiichapa Kagera sugar mabao 2–0 katika mchezo uliopita.

Post a Comment