LIVE: ITAZAME MECHI YA YANGA vs JKT TANZANIA LIVE HAPA BUREE


 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, Jumatatu, Agosti 24,2026, watashuka dimbani kuwakabili JKT Tanzania katika mchezo wa mzunguko wa tatu waligi hiyo.

Mchezo huo utapigwa saa 12:00 jioni katika Uwanja wa nyumbani wa Yanga jijini Dar es Salaam, huku Wananchi wakiingia kwenye mchezo huo wakiwa na morali kubwa baada ya kuanza msimu kwa matokeo mazuri.

Yanga imeanza msimu wa 2026/27kwa ushindi katika michezo yake miwili ya kwanza. Katika mchezo wa kwanza, ilishinda Namungo FC mabao 3-1 ugenini kabla ya kuifunga Coastal Union kwa mabao 4–1 katika mchezo ulio fuata.

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post