Habibu Kondo Kutimiza Maajabu ya Azam FC Bandari Tanzania? Ligi Kuu Inanukia!

Wakati watoza shuru wa Bandari Tanzania wakiendelea kujifua vikali kujiandaa na ushindani wa Ligi ya Championship msimu ujao, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Habibu Kondo, ametoa kauli nzito akisisitiza lengo lake kuu ni kuipandisha timu hiyo kucheza Ligi Kuu Bara. Bandari Tanzania inajiandaa kushiriki Ligi ya Championship kwa mara ya kwanza baada ya kufanya kweli […]

The post Habibu Kondo Kutimiza Maajabu ya Azam FC Bandari Tanzania? Ligi Kuu Inanukia! appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/DuAc3Fd
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post