Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amemjia juu mshambuliaji wake chipukizi, Issa Bushiri ‘Chuga Boy’, na kumtaka kuachana mara moja na tabia ya kucheza kwa ubinafsi, badala yake aweke maslahi ya timu mbele. Kauli hiyo ya Mngqithi imekuja mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC […]
The post Mngqithi Amfunda Risasi Chuga Boy: Yanga Yapiga 4-1 JKT Tanzania | Soka La Bongo appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/8TpQAFh
via IFTTT
Post a Comment