Mngqithi Afichua Siri Yanga Kuichapa JKT 4-0: “Bado Tuna Kazi Kubwa”

KOCHA Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesisitiza kuwa pamoja na kupata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania, bado kikosi chake kina safari ndefu ya kufanyia maboresho eneo la kudhibiti mchezo na kutumia vizuri nafasi zinazopatikana. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Mngqithi alionyesha kuridhishwa na uwezo wa wachezaji […]

The post Mngqithi Afichua Siri Yanga Kuichapa JKT 4-0: “Bado Tuna Kazi Kubwa” appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/Te8aBLW
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post