Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, ameweka wazi kuwa haitakuwa mechi rahisi kwa kikosi chake kitakapokabiliana na JKT Tanzania, huku akiwataja baadhi ya wachezaji wa wapinzani hao wanaoweza kuwaletea shida uwanjani. Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) unatarajiwa kupigwa katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam, ambapo Yanga inalenga […]
The post Yanga vs JKT Tanzania: Mngqithi Awataja Wachezaji Hatari wa JKT appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/OSv67qd
via IFTTT
Post a Comment