Winga mpya na machachari wa Azam FC, Henock Molia, ameshindwa kuzuia furaha yake baada ya kufungua akaunti ya mabao katika Ligi Kuu ya Tanzania, huku akitoa tahadhari kubwa kuhusu ugumu wa ushindani uliopo kwenye ligi hiyo. Nyota huyo raia wa DR Congo alifunga bao lake la kwanza katika dakika ya 24 kwenye mchezo uliopigwa Agosti […]
The post “Ligi ya Bongo Siyo Mchezo!” – Henock Molia Afunguka Baada ya Kuitungua Pamba Jiji FC appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/o1zba7n
via IFTTT
Post a Comment