LISBON, URENO: Supastaa wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, anaripotiwa kuingia kwenye hatua mpya ya maisha baada ya kuenea kwa taarifa kuwa huenda akafunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake wa siku nyingi, Georgina Rodriguez. Wawili hawa wamekuwa pamoja tangu mwaka 2016 baada ya kukutana katika duka la kifahari la Gucci jijini Madrid, Hispania. Kwa sasa, […]
The post Cristiano Ronaldo na Georgina Rodriguez Funga Ndoa? Wanawake 7 Aliowahi Kutoka Nao appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/g371kMi
via IFTTT
Post a Comment