Klabu ya Pamba Jiji ipo katika hatua za mwisho kabisa kukamilisha usajili wa mshambuliaji hatari, Deogratius Mafie, kufuatia uamuzi wake wa kuachana na kikosi cha Kagera Sugar alichokisaidia kupanda Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2025-2026. Akizungumza na mtandao huu wa Soka la Bongo, Mafie amethibitisha kuwa mkataba wake na Kagera Sugar umefikia kikomo baada […]
The post Deogratius Mafie Aingia Makubaliano na Pamba Jiji, Aaga Kagera Sugar appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/VIxogjz
via IFTTT
Post a Comment