Kikosi cha Yanga SC kimeanza rasmi safari kuelekea Wilayani Bukombe, Ushirombo mkoani Geita, tayari kwa ajili ya kushiriki uzinduzi mkubwa wa Tamasha la Wiki ya Mwananchi linalotarajiwa kufanyika leo. Uzinduzi huu ni sehemu ya maandalizi ya kabla ya msimu mpya wa 2026/27, ambapo Yanga inalenga kuwasha moto mapema kabla ya kuanza kwa mashindano rasmi. Morali […]
The post YANGA YATUA USHIROMBO: Uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi Kuanza Leo Mkoani Geita! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/lNFPZKO
via IFTTT
Post a Comment