BAADA ya kushuhudia Yanga ikibeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara ikiziacha Simba na Azam nafasi ya pili na tatu mtawalia, timu hizo zinasaka heshima leo ambapo filimbi ya mwisho itakapopulizwa, basi upande mmoja utakuwa na furaha na mwingine kilio. Hilo litatokea kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba itakapopigwa fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ikizikutanisha […]
The post Simba, Azam Kusaka Heshima Pemba appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/U6DpvCi
via IFTTT
Post a Comment