BEKI wa Azam FC, Nathaniel Chilambo, amempa sifa kocha mkuu wa timu hiyo, Florent Ibenge namna anavyowapa nafasi wachezaji na imekuwa moja ya sababu ya kiwango chake kuwa bora zaidi msimu huu. Chilambo ambaye amekuwa mmoja wa mabeki waliotumika mara kwa mara na Azam FC katika mashindano mbalimbali msimu huu, amesema ujio wa Ibenge umeongeza […]
The post Chilambo Afichua Jambo Kwa Ibenge appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/ITLqs7R
via IFTTT
Post a Comment