Hersi Aionya Simba, Tano Sio Mwisho, Zingine Zinakuja

RAIS wa Yanga, Hersi Said, ameonekana kutuma ujumbe mzito kwa watani zao, Simba, akisisitiza kuwa endapo hawatajipanga vizuri wanaweza kuendelea kushuhudia Yanga ikitawala Ligi Kuu Tanzania Bara kwa misimu mingi zaidi. Hersi amesema kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tano mfululizo si mwisho wa mafanikio ya klabu hiyo, bali ni mwanzo […]

The post Hersi Aionya Simba, Tano Sio Mwisho, Zingine Zinakuja appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/6GKB0Tx
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post